Chama cha ACT Wazalendo kimefungua mjadala mpya kuhusu hadhi ya Uzanzibari baada ya kuhoji mwenendo wa utoaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi (ZAN ID), kikisisitiza kuwa Serikali inapaswa kuweka ...
Vijana 100 waliofuzu katika shindano la Vijana Uchumi Challenge wameingia kambini katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya mchujo wa awamu ya pili utakaowachuja ...
TAKRIBANI simu 120 zimekamatwa shuleni, huku zilizo nyingi zikiwa na maudhui yanayohusu ngono na uhusiano kimapenzi. Kaimu Ofisa Elimu Mkoa wa Tabora, Nestory Mashiku, ameyasema hayo mkoani humo, na ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Mansura Mosi Kassim kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya ...
Wananchi wa vijiji vya Pemba na Gonja wilayani Mvomero, mkoani Morogoro wameendelea kushiriki kikamilifu katika shughuli za utunzaji na uhifadhi wa mazingira ikiwemo misitu na vyanzo vya maji ...
Mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao, umeagwa rasmi leo nyumbani kwake eneo la Mji Mwema, Kata ya Tungi katika Manispaa ya Morogoro kabla ya kusafirishwa kuelekea ...
Siri za serikali, ni taarifa nyeti zinazohusiana na ulinzi, diplomasia, uchumi na mipango ya kimkakati ya nchi. Hakuna asiyetambua kwamba, uvujaji wa taarifa hizi unaweza kuhatarisha ustawi na usalama ...
CHUMVI hufanya chakula kuwa na ladha. Pia ni muhimu kwa maisha ya mwanadamu. ‘Madini ya ‘sodiamu’ yaliyoko katika chumvi ni muhimu kudumisha kiwango sahihi cha maji mwilini. Pia huwezesha seli ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, kimepanda miti zaidi ya 100 katika eneo la wazi la KDC mjini Moshi, ikiwa ni mpango wake wa kuweka kipaombele katika suala la utunzaji ...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa ...
TAFITI za kisayansi zimebainisha ongezeko la theluji katika mlima Kilimanjaro kwa kipindi cha miaka 15 hali inayochochea umaaarufu zaidi wa mlima huo barani Afrika. Takwimu hizo zinaonyesha kwamba ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results